Posts

Showing posts from November, 2022

SAFARI YA MAFANIKIO.

Image
(Picha;Sir Moris) Azimio langu la kujiunga na chuo kikuu wakati nilipokuwa chuo Cha upili hatimaye iliwadia.Baada na kunyakua alama za juu katika mtihani wa kitaifa wa shule ya upili, nilipata mwaliko katika chuo kikuu Cha kiufundi Cha Mombasa.Sikufikiria mara mbili mbali nilijitosa mzimamzima ili nikajishuhudie yote yatendekayo katika vyuo vikuu.Nilipokwisha kujisajili nilielekezwa katika darasa langu.Maisha niliyoyatarajia huku yalikuwa kinaya.Nilijifunza jinsi ya kujitegemea pasipo mzazi au mwalimu . Katika pilkapilka zangu za masomo,nilikuja kugundua Kuna watu wenye sampuli tofauti humu chuoni;wale wapole,wenye hasira,wale waraibu wa mihadarati na wanaozama katika Lindi la shinikizo la rika.Nilijitahidi sana nisiwe mwenye sifa mbaya kadri niwezavyo.Miaka ilizidi kusonga hadi ilipofika muda wa kiambatisho almaarufu field attachment.Huo ulikuwa muda wa wanafunzi kujiendeleza kimasomo katika kiwango Cha uhalisia almaarufu practicals.Kwa kuwa nilikuwa nasomea uanahabari na utengenezaji...

THE ROLE OF YOUTHS IN CREATING A MORE DEMOCRATIC KENYA.

Image
  The Role of the Youth in Building a More Democratic Kenya Post date:  Thu, Jul 5, 2012 Category:  General By:   IEA Kenya , Democracy is oftentimes loosely defined as a rule by the majority, where the majority has their say and way. That should mean that all citizens of a democratic country should have their say in everything that affects their lives: politically, socially and economically. In practice however, democracy is commonly viewed as simply the electoral process. This is misguided since it limits democracy to the ballot process alone and clearly explains why there is immense pressure that surrounds the electoral process. What kind of democracy is Kenya, if it serves the interests of the powerful minority while ignoring the wisdom of the majority? Kenya continues to struggle from the effects of bad governance, impunity, weak public institutions, inequality and historical injustices despite the record show up at the ballot box. This thus begs the question, I...

THE CLIMATE CHANGE CRISIS CAN BE AN OPPORTUNITY.

Image
The 2022 United Nations Climate Change Conference is underway in Egypt and an obvious question is: what does this matter to us in Latin America and the Caribbean (LAC) region? The short answer: a lot. While climate change poses a big threat, tackling it offers a huge opportunity for the region. It can make people safer today and opens great opportunities for the future. But to achieve this, we need to act now. Let’s talk first about the threat. Whether you live in a city or in a rural area, climate change is here and more of it is coming soon. Whenever I travel across the region, I see the effects on people through longer droughts and more frequent floods. On a recent trip to Argentina, I visited communities in the Impenetrable Forest of Chaco and in the mountainous areas in Salta and saw them struggle with drought. On the same trip, I heard from staff in our office in Asunción in Paraguay, who could not return home because torrents of water from heavy rains made the streets impassable...