SAFARI YA MAFANIKIO.

(Picha;Sir Moris)

Azimio langu la kujiunga na chuo kikuu wakati nilipokuwa chuo Cha upili hatimaye iliwadia.Baada na kunyakua alama za juu katika mtihani wa kitaifa wa shule ya upili, nilipata mwaliko katika chuo kikuu Cha kiufundi Cha Mombasa.Sikufikiria mara mbili mbali nilijitosa mzimamzima ili nikajishuhudie yote yatendekayo katika vyuo vikuu.Nilipokwisha kujisajili nilielekezwa katika darasa langu.Maisha niliyoyatarajia huku yalikuwa kinaya.Nilijifunza jinsi ya kujitegemea pasipo mzazi au mwalimu .


Katika pilkapilka zangu za masomo,nilikuja kugundua Kuna watu wenye sampuli tofauti humu chuoni;wale wapole,wenye hasira,wale waraibu wa mihadarati na wanaozama katika Lindi la shinikizo la rika.Nilijitahidi sana nisiwe mwenye sifa mbaya kadri niwezavyo.Miaka ilizidi kusonga hadi ilipofika muda wa kiambatisho almaarufu field attachment.Huo ulikuwa muda wa wanafunzi kujiendeleza kimasomo katika kiwango Cha uhalisia almaarufu practicals.Kwa kuwa nilikuwa nasomea uanahabari na utengenezaji wa filamu ,nilijiunga na kampuni iitwayo Hope Productions Media.Huko nilijifunza jinsi filamu inavyotengenezwa hadi tamati chini ya uongozi wa wataalamu wa filamu.



Kufikia sasa natamatisha muhula wangu wa mwisho shuleni.Safari hii kusema ukweli haijakuwa rahisi ni nazidi kufaulu kutokana na jitihada zangu na umakinifu wangu .Nina matumaini nitaumaliza muhula huu vizuri na nitakuwa kati ya mahafala watakaofuzu.

Comments

  1. Safi sana kaka. Twakuombea mema

    ReplyDelete
    Replies
    1. swadakta ndugu. Mwenyezi Mungu Subnahaahu wa Taala akubariki

      Delete
  2. kila la heri ndugu..Mungu akutimizie haja ya Moyo wako

    ReplyDelete
  3. Keep it up classmate

    ReplyDelete
  4. Nakuombea mema ✨🥰mungu akujalie 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 good job

    ReplyDelete
  5. This great brother

    ReplyDelete
  6. Mungu akutangulie na abariki kazi ya mikono yako

    ReplyDelete
  7. You're so creative😊 I love how you're connecting the events 🤗

    ReplyDelete
  8. Kazi safi sana kaka

    ReplyDelete
  9. Kazi safi sana kaka👌💪

    ReplyDelete
  10. Mungu akujalie katika Safari Yako man

    ReplyDelete
  11. Great job done 👌👌

    ReplyDelete
  12. Good work bro, keep it up and may God answer your prayers.i believe you shall succeed so congratulations in advance

    ReplyDelete
  13. Amina. Mungu akuajalie kakangu

    ReplyDelete
  14. You have to succeed ,, well done brother, Keep up,,
    Sky is the limit🔥🔥🔥✍️👏🤝

    ReplyDelete
  15. May Gods increase you It's amazing

    ReplyDelete
  16. I believe in you babybrother ❤️you'll reach places.

    ReplyDelete
  17. Good work, keep it up bro

    ReplyDelete
  18. Kiswahili!🔥😅

    ReplyDelete
  19. Nakutakia mwema,Mungu akuwezeshe kijana wangu🙏🙏🙏

    ReplyDelete
  20. Nice article may God's grace be upon you always.

    ReplyDelete
  21. Fire👏.. all the best

    ReplyDelete
  22. Safi👏
    May God guide your next step in life all the best

    ReplyDelete
  23. Kazi safi bro,sky is the limit keep working hard I am praying for you🙏

    ReplyDelete
  24. Kazi safi kaka💪💪hope all will end well

    ReplyDelete
  25. Am glad u made it bro..Bravoo👏👏. Continue keeping the fire burning till the end.i salute u sir

    ReplyDelete
  26. May God take care of dogo

    ReplyDelete
  27. You will make it brother God is in control always

    ReplyDelete
  28. Sir moris🥳🥳🥳🥳🥳

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HALUA CHUNGU

THE CLIMATE CHANGE CRISIS CAN BE AN OPPORTUNITY.

REASON FOR MOMBASA RESIDENTS TO BE HAPPY AS THE PORT COMES BACK