HALUA CHUNGU


Tamthilia hii hali ya maisha ya Omar Chikebe mwanawe Bi. Samia na marehemu mzee Shehena. Omar amezaliwa kijiji na kukulia mjini. Anabahatika kumpata Hamida kama mpenziwe. Wanapanga kuoana na Omar anaamua kumpeleka Hamida kijijini akamjulishe kwa mjombake Mzee Kizito na mipango ya harusi ianze. Mzee Kizito anaamrisha Omar apelekwe jandoni mara ya pili kwa kuwa hakutahiriwa kimila na alipotahiriwa hospitali hakupata maumivu ishara ya kuwa hakuwa ametahiriwa vizuri. Hamida anapinga na kuhusisha hali hiyo na ushirikina. Anaamua kutoroka kijijini na kurudi mjini. Hatimaye Omar anapelekwa jandoni kwa ngariba. Anatahiriwa na msaidizi wa ngariba mkuu, Mazingo. Mazingo anamtahiri vibaya kwa kuwa pia yeye amempenda Hamida. Omar anakufa.

Vurugu linatokea kwenye mazishi na mzee Beba ngariba mkuu anafunguka na kusema hakutaka Omar na Hamida waoane kwani walikuwa mandugu na mzee Beba alkuwa baba yao.


WAHUSIKA WAKUU

Omar – Mhusika mkuu mtoto wa Mzee Shehena na Bi. Samia

Hamida – mpenziwe Omar

Mzee Shehena – Babake Omar (marehemu)

Bi. Samia – mamake Omar

Mzee Kizito – Mjombake Omar

Mika – Mjombake Hamida

Khamis – Cousin wa mzee Kizito

Mzee Beba – Ngariba mkuu.

Mazingo – Msaidizi wa Ngariba.

Comments

  1. Hii Yanikumbusha Kitumbua mchangaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

    ReplyDelete
  2. Au sio mwanafalsafa mwengine huyu sio🀣🀣πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

    ReplyDelete
  3. πŸ‘πŸ‘πŸ‘

    ReplyDelete
  4. Nakala nzuri,
    Kiswahili kitukuzwe!πŸ˜…
    HekoπŸ‘

    ReplyDelete
  5. Nice work

    ReplyDelete
  6. Very impressive

    ReplyDelete
  7. Nice one sirr Morice

    ReplyDelete
  8. intresting, keep it up

    ReplyDelete
  9. Cool and that i have a super proposal: What Home Renovation Expenses Are Tax Deductible home remodeling companies

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

THE CLIMATE CHANGE CRISIS CAN BE AN OPPORTUNITY.

REASON FOR MOMBASA RESIDENTS TO BE HAPPY AS THE PORT COMES BACK