SAFARI YA MAFANIKIO.
(Picha;Sir Moris)
Azimio langu la kujiunga na chuo kikuu wakati nilipokuwa chuo Cha upili hatimaye iliwadia.Baada na kunyakua alama za juu katika mtihani wa kitaifa wa shule ya upili, nilipata mwaliko katika chuo kikuu Cha kiufundi Cha Mombasa.Sikufikiria mara mbili mbali nilijitosa mzimamzima ili nikajishuhudie yote yatendekayo katika vyuo vikuu.Nilipokwisha kujisajili nilielekezwa katika darasa langu.Maisha niliyoyatarajia huku yalikuwa kinaya.Nilijifunza jinsi ya kujitegemea pasipo mzazi au mwalimu .
Katika pilkapilka zangu za masomo,nilikuja kugundua Kuna watu wenye sampuli tofauti humu chuoni;wale wapole,wenye hasira,wale waraibu wa mihadarati na wanaozama katika Lindi la shinikizo la rika.Nilijitahidi sana nisiwe mwenye sifa mbaya kadri niwezavyo.Miaka ilizidi kusonga hadi ilipofika muda wa kiambatisho almaarufu field attachment.Huo ulikuwa muda wa wanafunzi kujiendeleza kimasomo katika kiwango Cha uhalisia almaarufu practicals.Kwa kuwa nilikuwa nasomea uanahabari na utengenezaji wa filamu ,nilijiunga na kampuni iitwayo Hope Productions Media.Huko nilijifunza jinsi filamu inavyotengenezwa hadi tamati chini ya uongozi wa wataalamu wa filamu.
Kufikia sasa natamatisha muhula wangu wa mwisho shuleni.Safari hii kusema ukweli haijakuwa rahisi ni nazidi kufaulu kutokana na jitihada zangu na umakinifu wangu .Nina matumaini nitaumaliza muhula huu vizuri na nitakuwa kati ya mahafala watakaofuzu.

.jpg)
.jpg)
Safi sana kaka. Twakuombea mema
ReplyDeleteswadakta ndugu. Mwenyezi Mungu Subnahaahu wa Taala akubariki
Delete😇😇😇
ReplyDeleteKazi safiiii
ReplyDeletePhenomenal
ReplyDeleteSwadakta
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeletekila la heri ndugu..Mungu akutimizie haja ya Moyo wako
ReplyDeleteKeep it up classmate
ReplyDeleteNakuombea mema ✨🥰mungu akujalie 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 good job
ReplyDeleteKazi Nzuri Sana👏
ReplyDeleteThis great brother
ReplyDeleteAwesome article
ReplyDeleteMungu akutangulie na abariki kazi ya mikono yako
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteNice one Pic
ReplyDeleteYou're so creative😊 I love how you're connecting the events 🤗
ReplyDelete😍😍
ReplyDeleteKazi safi sana kaka
ReplyDeleteGreat job
ReplyDeleteGood job done
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteKazi safi sana kaka👌💪
ReplyDeleteMungu akujalie katika Safari Yako man
ReplyDeleteGreat job done 👌👌
ReplyDeletegood work😊
ReplyDeleteGood work bro, keep it up and may God answer your prayers.i believe you shall succeed so congratulations in advance
ReplyDeleteKAZI safii
ReplyDeleteHongera
ReplyDeleteGood work 👌
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteBingwa
ReplyDeleteAmina. Mungu akuajalie kakangu
ReplyDeleteYou have to succeed ,, well done brother, Keep up,,
ReplyDeleteSky is the limit🔥🔥🔥✍️👏🤝
Safi sana Ndugu
ReplyDeleteMay Gods increase you It's amazing
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi safi sana
ReplyDeleteI believe in you babybrother ❤️you'll reach places.
ReplyDeleteGood work, keep it up bro
ReplyDeleteKiswahili!🔥😅
ReplyDeleteWell done
ReplyDeleteNakutakia mwema,Mungu akuwezeshe kijana wangu🙏🙏🙏
ReplyDeleteKazi kuntu
ReplyDeleteNice article may God's grace be upon you always.
ReplyDelete🔥🔥🔥🔥
ReplyDeleteFire👏.. all the best
ReplyDeleteWell outlined😊
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteSafi👏
ReplyDeleteMay God guide your next step in life all the best
Hongera kaka
ReplyDeleteKazi safi bro,sky is the limit keep working hard I am praying for you🙏
ReplyDeleteKazi safi kaka💪💪hope all will end well
ReplyDeleteAm glad u made it bro..Bravoo👏👏. Continue keeping the fire burning till the end.i salute u sir
ReplyDeleteMay God take care of dogo
ReplyDeleteYou will make it brother God is in control always
ReplyDelete
ReplyDeleteAmazing
Sir moris🥳🥳🥳🥳🥳
ReplyDelete